D Voice Ft Zuchu - BamBam Lyrics

BamBam - D Voice Ft Zuchu Lyrics Washumba na mashumba wena Haikatox haikatai Naenjoy mapenzi ananipenda wallah

D Voice Ft Zuchu - BamBam Lyrics
BamBam - D Voice Ft Zuchu Lyrics

BamBam - D Voice Ft Zuchu Lyrics

Washumba na mashumba wena
Haikatox haikatai
Naenjoy mapenzi ananipenda wallah
Sikuhizi kiboss acha nijidai
Penzi limefana kama suti na tai limenogaa
Raha tu chumbani bafana bafanaa
Kitandani ana nichezesha sheree
Nimeoza moyo maini maini mpaka bandama
Ye ndo kucha kanikuna kipelee
Asa wenzenu leo hatulalii (kitandana cha moto)
Wakubwa tunakesha kulala tuwaachie watoto
Usiku ndo hatarii (moto juu ya moto)
Tunazama sayari yani chocho juu ya chocho
Mi na yeye bambam
Ye ni hawa mi adam dam dam
Wenzenu penzi letu tam tam tam
Mi na yeye dam dam dam
Zuchu chu chu
My baby good morning itika how are you
( how are you)
Mi siko fine toka jana usiku
Nisipokuona tu honey mi presha yawa juu (yawa juu)
Naogopa vinyani visikuibe my boo
Ooh kwake natolewa miba wa samaki kole kole
Ooh ananilisha nashiba kisha ananipa pole
Onana
Onana nana ono nono
Pendashana i ilove more more
Natukigombana mtulize mishono
Tunajuana mtachoka midomo
Wenzenu leo hatulalii (kitandana cha moto)
Wakubwa tunakesha kulala tuwaachie watoto
Usiku ndo hatarii (moto juu ya moto)
Tunazama sayari yani chocho juu ya chocho
Mi na yeye bambam
Ye ndo hawa mi adam dam dam
Wenzenu penzi letu tam tam tam
Mi na yeye dam dam dam
Onana nana ono nono
Pendashana i ilove more more
Natukigombana mtulize mishono
Tunajuana mtachoka midomo